Meals and accomodation huwa ni zaidi ya hiyo pesa nikama mil 2+, hiyopesa utapewa yote na bodi ya mkopo kwenye acc yako kwa awamu, pia hostel udsm mabibo utalipia 71000 tu. Pesa iliyobaki utakula bata ,plus nyingine laki mbili utapatiwa ya books and stationary yayo utaipiga ,yaani chuo mambo ni moto.