Msaada kuhusu hivi vipimo

Breki ya Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
715
Reaction score
1,007
Habari ndugu wote wa JF,

Baada ya kujisikia mwili na viungo mbalimbali vikiuma sana, leo nimeenda kufanya vipimo mbalimbali kujua tatizo ni nini. Na haya ndio majibu ambayo nimetoka nayo maabara.

Najua humu kuna ma Dr wabobezi kwenye nyanja hii ya afya, hivyo naomba mnijuze hivyo vipimo vinaonyesha nina tatizo gani. Natanguliza shukrani

​
 
UTI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…