Wakuu naombeni msaada wenu kuhusu hiii kitu..hili tatizo lilianza baada ya mm kureset simu yangu,baada ya kudownload upya hii OG ndo majanga hayaa yakaanza,na yanatokea kila nikitaka Ku mute magroup ya whatsapp ndo ishu hiii inatokea.
Nimejaribu uninstall wapii...nimeclear data holaa...nimezima nikatoa betri for a time badoo.
Nimeona nijee hukuu nilikoifahamia hiii kitu kwa msaada zaidi.
Asanteni Sana.