Sijaomba mkopo mwaka huu kwasababu bod walitoa kigezo kwa aliyemaliza diploma kuanzia mwaka 2011 kurudi nyuma hana sifa ya kupata mkopo,mimi nilimaliza 2011 diploma,,je nikipata koz ileile ya mwaka jana nikienda bodi kupeleka vielelezo vya kutoweza kuripoti chuo je mkopo wa mwaka jana wanaweza kunipa mwaka huu.?
HIKI KITENDO NI CHA UBAGUZI sana. MIMI MWENYEWE NILIHITIMU 2011 ILA NILIOMBA ZAIDI NAMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU ANITANGULIE
KIGEZO CHAO NI KUWA KTK MIAKA MITATU MTU UNAKUWA NA AJIRA NA UNAO UWEZO WA KUJISOMESHA. HII HOJA NI MFU KWANI AJIRA ZENYEWE KUPATA NI TABU.
KWA KWELI WATOTO WA WAKULIMA TABU TUNAYO.
msaada plz mm nimeomba mkopo bt ndio mwaka wa pili coz last yr nikosa bt nasikia mkopo mwaka huu yatakoka mojakwa moja na post so sisi tunaoingia mwaka wa pili inakuaje.uck mwema wapendwa
HIKI KITENDO NI CHA UBAGUZI sana. MIMI MWENYEWE NILIHITIMU 2011 ILA NILIOMBA ZAIDI NAMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU ANITANGULIE
KIGEZO CHAO NI KUWA KTK MIAKA MITATU MTU UNAKUWA NA AJIRA NA UNAO UWEZO WA KUJISOMESHA. HII HOJA NI MFU KWANI AJIRA ZENYEWE KUPATA NI TABU.
KWA KWELI WATOTO WA WAKULIMA TABU TUNAYO.
Yani kaka we acha tu,hii ndo tanzania full maumivu
Si Kweli kwani kama unakidhi vigezo waweza kupata.
eti kama uliahirisha mwaka kupata mkopo mwaka ujao inakua ni shida?
eti kama uliahirisha mwaka kupata mkopo mwaka ujao inakua ni shida?
mkopo unapata,ila kama ulikuwa ushaulapo hata cku moja,basi unarudisha asilimia 25 ya kiasi ambacho nilitumia!
mimi sikulipot chuon mwaka jana nikawaandikia barua heslb na sasa nikaomba upya nikapata chuo.Kuna kesi mbili,
1. Kuahirisha mwaka wa masomo kwa kufuata taratibu zote (chuo na bodi wafahamu kama umeahirisha mwaka wa masomo). Hapa utapata mkopo. Unatakiwa kuwafahamisha HESLB kama umerudi mjengoni ili waachie mzigo.
2. Kuacha chuo. Hapa ni kwamba, umekimbia masomo bila kufuata utaratibu wowowe. Hapa utapata mkopo endapo tu
(i) ulilipa 25% ya pesa uliyotumia kwenye mkopo wako wa awali!
(ii) uliomba mkopo upya!
Mkopa unapata haina xhida xa braza muda wot£ huo ulikuwa waapWadau mimi nilimaliza advance 2006 je ntaeza kupata mkopo mwaka huu
Aisee asikwambie mtu, life is a battle you advance toward the enermy and reorganize when confrontedMkopa unapata haina xhida xa braza muda wot£ huo ulikuwa waap