Kwa kumbukumbu zangu mpaka mwaka jana kama mtu yupo let's say mwaka wa pili na akaappeal na kupata mkopo, pesa za miaka yote kama walizokua wanachkua wenzake zilikua zinatoka kwa mkupuo. Ila kwa case ya ada kama pale ud huwa wanatakaga ukishamaliza chuo ndo uanze kuprocess refund