Diploma Zote zimeandikwa. Ordinary diploma in primary education in service na nyengine imeandikwa kama ivo but mwishoni ni pre service swali ipi ni ya shule ya sekondari wanajamii for
1.Ordinary Diploma in Primary Education unasomea ualimu wa shule za msingi.
2.Higher Diploma in Secondary Education unasomea ualimu wa shule za sekondari.
Ukikosea inakula kwako.

Hiyo higher haipo siku hizi,wahitimu wa mwisho kwenye vyuo vya serikali ni wale waliomaliza may mwaka jana.sasa vyuo vyote sasa vinadahili hizo za primary

Mimi ninacho fahamu ukisema In service ni wale walioko kazini tayari, pre service ni fresh from school. WOTE wanasoma sta shahada ya ualimu wa SHULE za msingi