Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
Nilienda kutibiwa miguu kuuma, magoti, mkojo kuuma wakati wa kukojoa, na mkojo kutokuisha wote. Yaani nikikojoa kabla sijarudi kukaa, nasikia tena hasa nikiwa nimetoka kuogaUlienda kutibiwa nini mpaka usiwaamini walipokuambia una tezi dume?
Je, hicho ulichotibiwa ulipimwa?
umepona?Nilienda kutibiwa miguu kuuma, magoti, mkojo kuuma wakati wa kukojoa, na mkojo kutokuisha wote. Yaani nikikojoa kabla sijarudi kukaa, nasikia tena hasa nikiwa nimetoka kuoga
Bado kiongozi. Waliniambia wanichome sindano za magoti kila wiki 2 kwa wiki 5. Walisema ni baridi yabisi. Ndo wakaniambia pia nina tezi dume nilipie 150,000umepona?
Leo nimekwenda hospitali ya mkoa, wamesema prostate ni kubwa kama 50. Kuna dawa wamenipa, tamsulosin ambayo ni ya kutuliza tu ila wameniambia niende Muhimbili kitengo cha mkojo kwa uchunguzi zaidiKapime kwenye hospitali kubwa ili uweze kujua stage ya hilo Tezi dume kwanza then utaanza kutafuta matibabu yenye unafuu.
Pole sana mkuuBado kiongozi. Waliniambia wanichome sindano za magoti kila wiki 2 kwa wiki 5. Walisema ni baridi yabisi. Ndo wakaniambia pia nina tezi dume nilipie 150,000
Ndo nauliza kama dawa zao zinatambulika
Asante sanaPole sana mkuu
Kunywa antibiotics kwanza uone, huenda ni UTI ndo maana mkojo unaumaAsante sana