Msaada kuhusu Daihatsu terios

Marumeso

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2009
Posts
1,408
Reaction score
1,334
Nafikiria kumiliki aina hii ya gari siku moja. Kwa anaeijua vizuri naomba kujuzwa kuhusu gari hii juu ya:

1, Uimara wake
2, Ulaji wake wa mafuta
3, Ipi nzuri zaidi kati ya manual na automatic
4, upatikanaji wa spea zake
 
nachojua ni kuwa terios kid inaenda hata kwa korie.
 
Hizo gari,toyota cami,daihatsu terios na terios kid zinafana kwa spare.tofauti iliopo ni kwamba daihatsu terios ni cc 1290,na terios kid ni cc 660,kwa utumiaji wa mafuta utaipenda ila kuna baadhi ya spare zake ni gali ila ukifunga umefunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…