laskaboza Senior Member Joined Jun 8, 2020 Posts 144 Reaction score 1,601 Sep 6, 2023 #21 Gaitonde said: Naomba kuuliza Hivi kuna umuhimu wowote wa kuweka kwenye CV kama ulipitia jkt kujitolea au muujibu Click to expand... Umuhimu upo kama unaomba kazi ya ulinzi au kwenye kampuni za security au kwenye taasisi za ki usalama!
Gaitonde said: Naomba kuuliza Hivi kuna umuhimu wowote wa kuweka kwenye CV kama ulipitia jkt kujitolea au muujibu Click to expand... Umuhimu upo kama unaomba kazi ya ulinzi au kwenye kampuni za security au kwenye taasisi za ki usalama!