D Domi Nicky New Member Joined Aug 12, 2019 Posts 3 Reaction score 2 Sep 10, 2019 #1 Wakuu hope mko vema. Mtumishi wenu sina mwanga kabsa kuhusu hio College of Earth sciences hasa Environmental Engineering kwa UDOM naomba mwenye knowledge kidogo hapo tusaidizane. Shukran
Wakuu hope mko vema. Mtumishi wenu sina mwanga kabsa kuhusu hio College of Earth sciences hasa Environmental Engineering kwa UDOM naomba mwenye knowledge kidogo hapo tusaidizane. Shukran
buffalo44 JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 5,129 Reaction score 13,110 Sep 10, 2019 #2 Unauliza college au program hiyo? Kama ni program well kama unataka kuielewa kirahisi angalia makampuni ya WASTE MANAGEMENT, UNEP etc
Unauliza college au program hiyo? Kama ni program well kama unataka kuielewa kirahisi angalia makampuni ya WASTE MANAGEMENT, UNEP etc
K Koryo2 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2016 Posts 2,056 Reaction score 2,523 Sep 10, 2019 #3 Soma masomo ambayo ukimaliza utajitegemea.
Mohamedy cadinaly JF-Expert Member Joined Apr 24, 2012 Posts 2,449 Reaction score 2,276 Sep 10, 2019 #4 Koryo2 said: Soma masomo ambayo ukimaliza utajitegemea. Click to expand... Ndiyo yapi hayo mkuu
MNEKI JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 992 Reaction score 1,311 Sep 10, 2019 #5 Mohamedy cadinaly said: Ndiyo hapi hayo mkuu Click to expand... Akikujibu naomba unitag
D Domi Nicky New Member Joined Aug 12, 2019 Posts 3 Reaction score 2 Sep 10, 2019 Thread starter #6 buffalo44 said: Unauliza college au program hiyo? Kama ni program well kama unataka kuielewa kirahisi angalia makampuni ya WASTE MANAGEMENT, UNEP etc Click to expand... college
buffalo44 said: Unauliza college au program hiyo? Kama ni program well kama unataka kuielewa kirahisi angalia makampuni ya WASTE MANAGEMENT, UNEP etc Click to expand... college
buffalo44 JF-Expert Member Joined May 8, 2016 Posts 5,129 Reaction score 13,110 Sep 10, 2019 #7 Domi Nicky said: college Click to expand... Siijui