V visent Member Joined Oct 24, 2013 Posts 22 Reaction score 0 Apr 7, 2016 #1 Eti wanafunzi wa vyuo naomba kuuliza, huwa mnakatwa shilingi ngapi wakati mnawekewa hela zenu bank kwa wale mlio na mikopo. Je hela uliyosaini ndio hiyo unayowekewa bank au inakua pungufu, na kama ni pungufu nyingine huenda wapi?
Eti wanafunzi wa vyuo naomba kuuliza, huwa mnakatwa shilingi ngapi wakati mnawekewa hela zenu bank kwa wale mlio na mikopo. Je hela uliyosaini ndio hiyo unayowekewa bank au inakua pungufu, na kama ni pungufu nyingine huenda wapi?
K kamanga2016 JF-Expert Member Joined Apr 5, 2016 Posts 657 Reaction score 503 Apr 7, 2016 #2 Unawekewa kama ulivyosaini
V visent Member Joined Oct 24, 2013 Posts 22 Reaction score 0 Apr 8, 2016 Thread starter #3 duuuuu hiki chuo basi watakuwa matajir sana kwa maana wanakata kila hela. hatujawi kuwekewa hela kama jinsi tulivo sain wanasema et kuna indirect cost inatakiwa ilipwe
duuuuu hiki chuo basi watakuwa matajir sana kwa maana wanakata kila hela. hatujawi kuwekewa hela kama jinsi tulivo sain wanasema et kuna indirect cost inatakiwa ilipwe
dekitambi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2015 Posts 663 Reaction score 763 Apr 9, 2016 #5 Wanakata elfu kumi
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Apr 9, 2016 #6 Itakua St Joseph tu hiyo kama sio ni Kampala Acheni ujinga..ulizeni indirect cost zipi?Zimeandikwa wapi? Hojini bana msiibiwe kizembe hivyo
Itakua St Joseph tu hiyo kama sio ni Kampala Acheni ujinga..ulizeni indirect cost zipi?Zimeandikwa wapi? Hojini bana msiibiwe kizembe hivyo
P patrice faraja Member Joined Oct 31, 2014 Posts 5 Reaction score 0 Apr 9, 2016 #7 Ze Heby said: Itakua St Joseph tu hiyo kama sio ni Kampala Acheni ujinga..ulizeni indirect cost zipi?Zimeandikwa wapi? Hojini bana msiibiwe kizembe hivyo Click to expand... Acha kujibu usichokijua...mim nasoma kampala na ninawekewa hela kama nlivyosign.
Ze Heby said: Itakua St Joseph tu hiyo kama sio ni Kampala Acheni ujinga..ulizeni indirect cost zipi?Zimeandikwa wapi? Hojini bana msiibiwe kizembe hivyo Click to expand... Acha kujibu usichokijua...mim nasoma kampala na ninawekewa hela kama nlivyosign.