card78 Member Joined Sep 22, 2018 Posts 49 Reaction score 48 Feb 18, 2022 #1 Msaada kwa mwenye uelewa juu ya Faculty ya Bach of education in administration and management katika chuo cha UDOM
Msaada kwa mwenye uelewa juu ya Faculty ya Bach of education in administration and management katika chuo cha UDOM
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,053 Reaction score 15,515 Feb 18, 2022 #2 Bado tuu una ndoto za ualimu? kazi kweli kweli yani
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,088 Reaction score 185,372 Feb 19, 2022 #3 Ngoja waje kukupa muongozo...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,178 Reaction score 69,684 Feb 19, 2022 #4 Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Mara Moja Moja Toa Wewe Mwongozo Hao Wengine Watachelewa Sana
Smart911 said: Ngoja waje kukupa muongozo... Click to expand... Mara Moja Moja Toa Wewe Mwongozo Hao Wengine Watachelewa Sana
Awakener The Lone Wolf JF-Expert Member Joined Dec 28, 2018 Posts 251 Reaction score 219 Feb 20, 2022 #5 Kennedy said: Mara Moja Moja Toa Wewe Mwongozo Hao Wengine Watachelewa Sana Click to expand... Huyu jamaa anakera yeye hana mchango kazi yake kusubirisha miongozo
Kennedy said: Mara Moja Moja Toa Wewe Mwongozo Hao Wengine Watachelewa Sana Click to expand... Huyu jamaa anakera yeye hana mchango kazi yake kusubirisha miongozo
karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,800 Reaction score 3,261 Feb 20, 2022 #6 Awakener said: Huyu jamaa anakera yeye hana mchango kazi yake kusubirisha miongozo Click to expand... Mmeamua kumchana
Awakener said: Huyu jamaa anakera yeye hana mchango kazi yake kusubirisha miongozo Click to expand... Mmeamua kumchana
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,699 Reaction score 41,863 Feb 20, 2022 #7 Yaan..kweli ccm imeharibu bongo za wananchi..yani kada ya walimu imejaa hadi ina mwagikia bado kuna mazuzu yanataka kusomea ualimu..ili yaje kulialia ajira za kupeana kwa kadi ya ccm..huu ni ufala asee. #MaendeleoHayanaChama
Yaan..kweli ccm imeharibu bongo za wananchi..yani kada ya walimu imejaa hadi ina mwagikia bado kuna mazuzu yanataka kusomea ualimu..ili yaje kulialia ajira za kupeana kwa kadi ya ccm..huu ni ufala asee. #MaendeleoHayanaChama