ACTIVIST13
Member
- May 26, 2018
- 13
- 16
samahan mkuu hii kitu ukisomea unaeza ajiliwa kazi gani labda kama sio ualimu?Soma tu education, achana na hii kitu, wanaliosoma wanasotea ualimu tena tution center, wanataman tu wangesoma ualimu kikaeleweka
Kimbia kabisa hio kitu, wengi wanaingiaga kichwa wakijua ni ualimu wakifika chuo hawaamin wanachokutana nacho
samahan mkuu hii kitu ukisomea unaeza ajiliwa kazi gani labda kama sio ualimu?
Mbona unabahatisha mkuu,Hiyo kitu kwa Tanzania ni ualimu tu
je hawajawahi fundisha mashuleni?Mbona unabahatisha mkuu,
Ulishaona field zao kama wanaenda shulen,??
Mara nying field zao n viwandan, sasa ualimu wanajulia wapi, scheme of work wanaweza kuandaa, je wanajua hata lesson plan, au ualimu unachukulia vip??
Kuna wakaguzi wanapita mashulen usifikili n kaz za kufakamia kiivo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Koz yeyote ya ualimu ina neno education mfn ,bachelor of science with education n. K
Sasa endeleeni kupeana pumba kuwa kwa Tanzania hio koz ni ualimu