Nadhani ikifikisha miezi mitatu hadi minne (ambapo unaweza usigundue kirahisi)wanachukua likizo na likizo yao ya kawaida huwa ni miezi mitatu.Kwa hiyo akijifungua tena hupewa maternity leave ambayo huwa miezi mitatu tena jumla inakuwa miezi 6.Kama ana bosi mwelewa anaweza akawa anampangia kazi nyepesi wakati wa kunyonyesha ili anyonyeshe vizuri.Ni mawazo yangu tu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums