Msaada kuhusu application za NACTE

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
89
Karibia wk sasa,ninilipa hela kwa ajjil ya appl za nacte kwa mpesa,voda wakaniletea msg kuwa imedhibitishwa imetumwa nacte,lkn nacte mpaka sasa hawajanitumia username na password,wakat nimeshajiregister,hvyo hawajanitumia username na password,nikiwapigia hawapokei,naomba msaada,wa namna yeyote ile maana deadline ni 17/07.
 

Andika kiswahili fasaha ili usaidiwe,huku sio facebook.
 
Username ni namba yako ya form iv na pia tumia hizo namba za voda kwenye sms baada ya kulipia nacte kuji register
 

hakuna tatizo
 
maana waliweka hatua zao za kulipia sio kutumia kama tunavyotuma mpesa kikawaida ukifuata hatua zao haupiti muda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…