nina mdogo wangu nimemfanyia application kupitia ajira portal baada ya kujisajili ila sasa hawajatuma ule ujumbe kupitia email yake kama amefanikiwa kutuma maombi yake ya kazi husika japo kwenye profile yake upande wa my application status post yake inasema RECEIVED . Je hili sio tatizo kwa upande wa kuitwa kwenye usahili ujao ...?? naomba msaada .