MSAADA KUHUSIANA NA SIMU: HUAWEI Y360.

Lipijema

JF-Expert Member
Mar 8, 2015
809
1,193
Ninayo aina ya simu tajwa hapo juu. Unapo iwasha inawaka kama kawaida, ila inapotaka kuingiza mtandao tu, inajizima na kujiwasha tena. Mwanzo nilizani ni tatizo linalo sababishwa na betri kuwa low, lakini hata nilipo weka nyingine tatizo halikuisha! Nime format imeshindikana pia. Ninajiuliza tatizo hasa ni nini? Labda ni ule mgogoro wa kibiashara kati ya Marekani na China unausika!?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…