Inabidi uwe na basic software/OS ya hiyo simu, uwe na laptop/computer na uwe na utaalamu wa kufanya hiyo shughuli. Je una kigezo chochote hapo? Kama huna peleka kwq mafundi simu wa software ni kama 30,000-70,000/= inategemea na aina ya simu... Ila kama ni tecno zenu za 40,000/= bora ukanunue mpya.
Asante na karibu.