God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,790
- 3,020
Vipi san disk na micro?Na haifai kweli kwa kuwa ni ya TECNO cha msingi nunua mpya tu mkuu
Mkuu unmanisha sitoweza rudisha tena data zangu ama?TANZIA. Tafuta nyingine.
Kajaribu labda mpya ya SanDisk itafaa... Lakini si unajua jinsi ya kutambua memori kadi feki na orijino??Vipi san disk na micro?
Mkuu unmanisha sitoweza rudisha tena data zangu ama?
Ipi?Kuna program hiyo ndio inaweza rudisha vitu vyako kwa kupitia computer ila ombea isome kwenye computer
Kwa ninachoona kila kitu kina mwisho.Kajaribu labda mpya ya SanDisk itafaa... Lakini si unajua jinsi ya kutambua memori kadi feki na orijino??
Yeah kama ulikuwa heavy user...ni sahihi kabisa..Fanya kununua mpyaKwa ninachoona kila kitu kina mwisho.
Naona life time ya hivi vidude si zaid ya miaka mitatu kwa wale heavy user kama mimi.
hahahaamemory card ya 4GB unaifungulia uzi mkuu?
ina data gani wakati umesema ulikuwa unapigia muziki?
acha kuwa mvivu wa kufikiria,kanunue nyingine..
Kuna nyimbo flani ivi kali sasa kuzidownload upya ni kazimemory card ya 4GB unaifungulia uzi mkuu?
ina data gani wakati umesema ulikuwa unapigia muziki?
acha kuwa mvivu wa kufikiria,kanunue nyingine..
HAHAH INAMAANA NDO IMEKWISHA KABISAYeah kama ulikuwa heavy user...ni sahihi kabisa..Fanya kununua mpya
Yeah kwishaHAHAH INAMAANA NDO IMEKWISHA KABISA
kuna unazozikumbuka nikuwekee hapa au popote utakaponielekeza?Kuna nyimbo flani ivi kali sasa kuzidownload upya ni kazi
Okaykuna unazozikumbuka nikuwekee hapa au popote utakaponielekeza?