Wakuuu naomba kwa mwenye uelewa na hzi cm ukiflash znakua,na ttzo ama bado itaendelea kufanyakaz nlinunua kwny campuni ya tgo sasa nataka lain 1 iwe inaingia lain yoyote maana inaingia tgo pekeake nkiweka lain nyingne inahitisha imei no na szijui hzo no za kuweka
Naomben msaada hapo wakuu