Unapaswa kwenda kwenye settings kisha storage kwenye default write disc chagua sd card kisha jaribu kudownload.
Halafu pia ingia settings, app manager , downloaded apps ucheck app moja moja na kizihamishia kwenye sd card zile smbazo ziko kwenye local au phone storage