Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,574 Reaction score 9,783 Aug 10, 2020 #1 Habari, Naomba msaada kidogo wanajukwaa, Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari. Je, natakiwa niipeleke Rita kuhakikiwa? au naituma heslb moja kwa moja mda wa kuapply mkopo? Msaada wakuu.
Habari, Naomba msaada kidogo wanajukwaa, Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari. Je, natakiwa niipeleke Rita kuhakikiwa? au naituma heslb moja kwa moja mda wa kuapply mkopo? Msaada wakuu.