msaada ku root tecno p3

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,289
Reaction score
1,243
wakuu nataka kuiroot tecno yang coz app zote nikizidownload zinaingia kwenye internal menory nimedownload link2sd bado n yale yale
 
wakuu nataka kuiroot tecno yang coz app zote nikizidownload zinaingia kwenye internal menory nimedownload link2sd bado n yale yale

mbona mm tecno p3 yangu ina option ya ku install kwenye SD card

ka vip badilisha settings
 
Kwani mara yako ya kwanza kutumia Android device?
Mm inakubali tu
fata mtililiko huu hapa

settings>application>preferred install location>SD Card

ni application zote zinazo kubali kwenda kwenye sd card mkuu bila ku root!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…