Kimambo jr JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 207 Reaction score 67 Sep 7, 2015 #1 Wana jamvi naomba msaada wenu maana nime dowload game la mission impossible katika torrents nime-download na setting zote nime-install ila inadai ku download mafail mengine wakati yapo kwenye simu tayari, msaada wenu jamani. Asanteni
Wana jamvi naomba msaada wenu maana nime dowload game la mission impossible katika torrents nime-download na setting zote nime-install ila inadai ku download mafail mengine wakati yapo kwenye simu tayari, msaada wenu jamani. Asanteni
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,262 Reaction score 44,391 Sep 7, 2015 #2 Data umeziweka mahala pake?
Kimambo jr JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 207 Reaction score 67 Sep 8, 2015 Thread starter #3 Chief-Mkwawa said: Data umeziweka mahala pake? Click to expand... Kwa hapo chief naomba msaada wako maana zipo kwenye sd card cjajua natakiwa niziweke wapi
Chief-Mkwawa said: Data umeziweka mahala pake? Click to expand... Kwa hapo chief naomba msaada wako maana zipo kwenye sd card cjajua natakiwa niziweke wapi
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,262 Reaction score 44,391 Sep 8, 2015 #4 Kimambo jr said: Kwa hapo chief naomba msaada wako maana zipo kwenye sd card cjajua natakiwa niziweke wapi Click to expand... Fungua file manager halafu nenda android then obb, kapaste data za game hapo.
Kimambo jr said: Kwa hapo chief naomba msaada wako maana zipo kwenye sd card cjajua natakiwa niziweke wapi Click to expand... Fungua file manager halafu nenda android then obb, kapaste data za game hapo.
Kimambo jr JF-Expert Member Joined Apr 27, 2015 Posts 207 Reaction score 67 Sep 8, 2015 Thread starter #5 Asante sana chief
barakachaplin Senior Member Joined Jan 24, 2014 Posts 123 Reaction score 55 Sep 25, 2015 #6 minilifanya ivyo kupeleka obb lakini bado ilikataaa