tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Aug 22, 2019 #1 Jamani msaada mdogo wangu kachaguliwa et food science UDSM na udaktar wa mifugo SUA.Sijui alijaza vip huyu mtoto. Sasa afanyeje?ingawa UDOM bado hajapata corfimation ya selection. Ana 1.8 PCB anataka soma Medicine, Pharmacy na Nursing. Msaada nini kifanyike haraka haraka.
Jamani msaada mdogo wangu kachaguliwa et food science UDSM na udaktar wa mifugo SUA.Sijui alijaza vip huyu mtoto. Sasa afanyeje?ingawa UDOM bado hajapata corfimation ya selection. Ana 1.8 PCB anataka soma Medicine, Pharmacy na Nursing. Msaada nini kifanyike haraka haraka.
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 Aug 22, 2019 #2 Duh anataka kusoma phamarcy,medicine na nursing halafu yeye akajaza food science na veterinary med.. Au mkuu wewe ndo unataka hizo kozi lakini yeye ndoto zake ni kozi alizojaza na kuchaguliwa??
Duh anataka kusoma phamarcy,medicine na nursing halafu yeye akajaza food science na veterinary med.. Au mkuu wewe ndo unataka hizo kozi lakini yeye ndoto zake ni kozi alizojaza na kuchaguliwa??
Baraba Member Joined Jan 2, 2015 Posts 62 Reaction score 27 Aug 22, 2019 #3 Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende
Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Aug 22, 2019 Thread starter #4 japhetrestus said: Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende Click to expand... Hajapata mkuu,sasa sijui tunanyeje huyu Dogo
japhetrestus said: Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende Click to expand... Hajapata mkuu,sasa sijui tunanyeje huyu Dogo
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Aug 22, 2019 Thread starter #5 japhetrestus said: Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende Click to expand... Hawa watoto balaa.Ushauri afanyeje.Kwani Anaweza omba tena?
japhetrestus said: Ilikuwaje akajaza kombi ambazo azitaki wakati anaufauli mzur wa masomo ya afya. Hapo asubirie tu huko udom akipata aende Click to expand... Hawa watoto balaa.Ushauri afanyeje.Kwani Anaweza omba tena?
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Aug 22, 2019 Thread starter #6 Mkuu nilishazeeka mie.Nilisoma ikapita carcinoma said: Duh anataka kusoma phamarcy,medicine na nursing halafu yeye akajaza food science na veterinary med.. Au mkuu wewe ndo unataka hizo kozi lakini yeye ndoto zake ni kozi alizojaza na kuchaguliwa?? Click to expand...
Mkuu nilishazeeka mie.Nilisoma ikapita carcinoma said: Duh anataka kusoma phamarcy,medicine na nursing halafu yeye akajaza food science na veterinary med.. Au mkuu wewe ndo unataka hizo kozi lakini yeye ndoto zake ni kozi alizojaza na kuchaguliwa?? Click to expand...
D Denny Msogoti New Member Joined Aug 5, 2019 Posts 3 Reaction score 0 Aug 22, 2019 #7 arudie application second round,,, aaply medicine udsm na udom af asiache st john pharmacy!