Alex mapunda Member Joined Apr 17, 2017 Posts 44 Reaction score 12 Aug 19, 2017 #1 Kwa anayeelewa hiyo course naomba anisaidie kunielekeza upatikanaji wake wa ajira uko vipi hapa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anayeelewa hiyo course naomba anisaidie kunielekeza upatikanaji wake wa ajira uko vipi hapa Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwala JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 1,180 Reaction score 1,275 Aug 19, 2017 #2 Mpango ambao unatarajiwa kuanza kutekelezwa hivi karibuni ni wahitimu wa sekta ya Maji kuajiriwa moja kwa moja wakitokea chuoni.Hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika sekta hii Sent using Jamii Forums mobile app
Mpango ambao unatarajiwa kuanza kutekelezwa hivi karibuni ni wahitimu wa sekta ya Maji kuajiriwa moja kwa moja wakitokea chuoni.Hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika sekta hii Sent using Jamii Forums mobile app
Nangose 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 7,207 Reaction score 6,786 Aug 19, 2017 #3 kama umechaguliwa hyo kozi, fahamu ww ni kidume... nenda chuo mkuu ushapata shavu hapo
Alex mapunda Member Joined Apr 17, 2017 Posts 44 Reaction score 12 Aug 19, 2017 Thread starter #4 Ahsanteni sana kwa ushauri wenu nime chaguliwa hiyo course ndo mana niliomba kujua upande wake wa ajira ukoje ila nashukuru sana Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu nime chaguliwa hiyo course ndo mana niliomba kujua upande wake wa ajira ukoje ila nashukuru sana Sent using Jamii Forums mobile app
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Aug 20, 2017 #5 Nimesoma hiyo kozi diploma....sasa nachukua degree ya watet resources and irrigation eng... Sijajutia kuisoma. Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma hiyo kozi diploma....sasa nachukua degree ya watet resources and irrigation eng... Sijajutia kuisoma. Sent using Jamii Forums mobile app
Luqnation Tz Senior Member Joined Jul 1, 2017 Posts 125 Reaction score 56 Aug 24, 2017 #6 Aaron said: Nimesoma hiyo kozi diploma....sasa nachukua degree ya watet resources and irrigation eng... Sijajutia kuisoma. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ada yake ikoje kwa hicho chuo unachosoma mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app
Aaron said: Nimesoma hiyo kozi diploma....sasa nachukua degree ya watet resources and irrigation eng... Sijajutia kuisoma. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ada yake ikoje kwa hicho chuo unachosoma mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Aug 25, 2017 #7 Luqnation Tz said: Ada yake ikoje kwa hicho chuo unachosoma mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 1.25M Sent using Jamii Forums mobile app
Luqnation Tz said: Ada yake ikoje kwa hicho chuo unachosoma mkuu?? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 1.25M Sent using Jamii Forums mobile app
Luqnation Tz Senior Member Joined Jul 1, 2017 Posts 125 Reaction score 56 Aug 25, 2017 #8 Aaron said: 1.25M Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sifa za kujiunga na chuo zipoje? Sent using Jamii Forums mobile app
Aaron said: 1.25M Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sifa za kujiunga na chuo zipoje? Sent using Jamii Forums mobile app