obs2b Member Joined May 31, 2016 Posts 13 Reaction score 2 Jun 1, 2016 #1 Naomba kuuliza kuhusu kozi ya theatre technician. Hapa kwetu ni chuo gani kinatoa, na inachukua muda gani mpaka kumaliza? Pia ni vigezo gani vinahitajika. Halafu baada ya hapo unaweza kuendelea na kusomea nini kupitia kozi hii? Asanteni.
Naomba kuuliza kuhusu kozi ya theatre technician. Hapa kwetu ni chuo gani kinatoa, na inachukua muda gani mpaka kumaliza? Pia ni vigezo gani vinahitajika. Halafu baada ya hapo unaweza kuendelea na kusomea nini kupitia kozi hii? Asanteni.