Mkwawa mnyalukoro JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 239 Reaction score 169 Oct 12, 2017 #1 Wanabodi kwanza poleni na presha za hapa na pale kwanza naombeni kuuliza hivi kozi ya BAED pale UDSM ni sh.ngapi Je naweza kusurvive kuilipa iwapo nitapata asilimia 0 YA HESLB? MSAADA JAMA
Wanabodi kwanza poleni na presha za hapa na pale kwanza naombeni kuuliza hivi kozi ya BAED pale UDSM ni sh.ngapi Je naweza kusurvive kuilipa iwapo nitapata asilimia 0 YA HESLB? MSAADA JAMA
kifusi boy JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 1,141 Reaction score 1,753 Oct 12, 2017 #2 BAED >MILLION MOJA KWA MWAKA..... Ukipata mkopo kwa asilimia kadhaa then inakua simple kujua utalipiwa sh. ngp na unatakiwa kulipa sh. ngp kwasababu ℅ moja ni sh. 10,000 ( msimbazi )
BAED >MILLION MOJA KWA MWAKA..... Ukipata mkopo kwa asilimia kadhaa then inakua simple kujua utalipiwa sh. ngp na unatakiwa kulipa sh. ngp kwasababu ℅ moja ni sh. 10,000 ( msimbazi )
Al assad JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,404 Reaction score 1,517 Oct 12, 2017 #3 Million 1 kwa mwaka!