habarini gentlemen! toka juzi king'amuzi kimenigomea,kinaandika no signal,nilipo~search,zile chanel zikajifuta majina na kuandika prog 1,prog 2 mpk prog 70,bila kuonyesha picha wala sauti,nikaona niwapigie custumer care,wakanishauri niangalie signal status nikakuta 90/65 isipokuwa ipo ktk hali ya unstable yaani ina play 35~90/0~65,so waungwana what can be a problem b4,i took it to there offices