Kabla hujaanza tendo shusha pumzi kwa nguvu,ondoa mawazo yote(relax ) jiamini kisha MPE condom mwenzi wako akuvalisheNdugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.
Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu
Natanguliza shukrani zangu za zati
Binafsi ndio maana huwa ninapendelea kupima ukimwi kwanza kabla ya mambo mengine.Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.
Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu
Natanguliza shukrani zangu za zati
Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.
Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu
Natanguliza shukrani zangu za zati
itakua anataka kusema..IN short unataka kusema kuwa................................
Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.
Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu
Natanguliza shukrani zangu za zati
Sikujua kama uko vizuri kwenye sector ya afya.Vikevile kua mlambaji mzuri wa asali+tangawizi na bila kusahau mbegu za maboga au uwatu
..... Block hiyo website ya www.xvideos.com haraka... Ndio tatizo linakusumbua. Pia punguza "chaputa"(isiache kbs kwani nayo ina umuhimu wake) tatizo litaisha.
Punguza msongo wa mawazo mzee kama huma stress
Kapime kisukari mzee
Punguza chaputa
Acha kuangalia porno
Acha uoga ukiingia pale mchezon
Jiamin
wacha nyeto mseng.e
Dawa ni hizi.
1. Acha wasiwasi wakati wa kazi.
2. Usikamie sana
3. Kula vizuri (punguza vyakula vya mafuta)
4. Piga mazoezi sana
5. Kunywa maji ya kutosha ie. Minimum kunywa lita tatu za maji daily.
6. Acha nyeto
7. Punguza/acha sigara na pombe.
NB: ukitaka kufurahia game kua mwana mazoezi tu.
kibovu majibu yako hapa!!OK,
1. Punguza kuangalia PORNO na kujichua....wale tunawaona wanaekti picha za ngono ni wasafi mno hivyo ukiwazoea wanakuwa hawafanani kabisa na uhalisia wa mwenza wako.
2. Punguza Pombe
3. Inawezekana maisha yamekupiga, usiwaze sana
4. KATUBU
Gia no 9 speed 180Kitu hyo hapo mkuu..mwisho wa tatizo lakoView attachment 726651