Wakuu naomben kufahamu utofauti kati ya ordinary diploma na higher diploma na pia kivip baadhi ya kozi huchukua muda wa miaka miwil na nyngne mwaka mmoja..nawasilisha
Nashkur ila kwa mm nahitaj kusomea diploma mwaka huu ila nashindwa kufaham fika katka koz ambayo nahitaj kusomea nichague koz which is written ordinary or higher diploma hapo ndo kuna shida mkuu