Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,451 Sep 5, 2013 #1 Wana Jf laptop yangu (toshiba c-660 2E4) keypads yenye namba upande wa kulia (numeric keys) haifanyi kazi. Naombeni ushauri wa kiufundi kukabiliana na dhahma hii. Nawakilisha.
Wana Jf laptop yangu (toshiba c-660 2E4) keypads yenye namba upande wa kulia (numeric keys) haifanyi kazi. Naombeni ushauri wa kiufundi kukabiliana na dhahma hii. Nawakilisha.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,272 Reaction score 43,172 Sep 5, 2013 #2 Mkuu embu angalia kwa hapo juu huo upande wa kulia kuna botton ukiibonyeza ndo inakupa ruhusa ya batani zingne kufanya kazi.
Mkuu embu angalia kwa hapo juu huo upande wa kulia kuna botton ukiibonyeza ndo inakupa ruhusa ya batani zingne kufanya kazi.
Msingida JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,684 Reaction score 12,451 Sep 5, 2013 Thread starter #3 ALEYN said: Mkuu embu angalia kwa hapo juu huo upande wa kulia kuna botton ukiibonyeza ndo inakupa ruhusa ya batani zingne kufanya kazi. Click to expand... Thanks,imekubali ndugu aleyn
ALEYN said: Mkuu embu angalia kwa hapo juu huo upande wa kulia kuna botton ukiibonyeza ndo inakupa ruhusa ya batani zingne kufanya kazi. Click to expand... Thanks,imekubali ndugu aleyn
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,272 Reaction score 43,172 Sep 5, 2013 #4 Msingida said: Thanks,imekubali ndugu aleyn Click to expand... Okay, Karibu tena.