Firefox adblock addon!
Ni kwa sababu una-surf bila kufichama kwahiyo unakuwa tracked na trackers kwa ajili ya matangazo yao, kwa firefox jaribu ad-on hii inaitwa DO NOT TRACK ME:
https://addons.mozilla.org/En-us/firefox/addon/donottrackplus/
Kama bado yanaendelea nijulishe

adblock ndio mpango, itaondoa mpaka ya facebook na kila mahala, na sio firefox tu hata kuna addon kwenye chrome na maxthon