Salaam
Natumai mmeamka salama ila moja kwa moja katika point ni kwamba natumia android flani hivi ila kuanzia Jana nimepata tatizo la kushindwa kudownload chochote kupitia browser, naletewa notification kwamba(unsuccessfull download), naombeni msaada kwa mwenye kujua solution ya tatizo hili!
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using
JamiiForums mobile app