Msaada kati ya iPhone 6 plus na Galaxy Note 4

captain dunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
282
Reaction score
638
Habari wadau..
naombeni mnisaidie kati ya IPHONE 6 PLUS na NOTE 4 ni simu gani nichukue.!!

Nahitaji simu yenye kukaa na chaji mda mrefu,itakayodumu,internet ya faster na camera nzuri sana,zote mbele na nyuma.
 
Kukaa na chaji inategemea na matumizi yako tu.
Ila Iphone 6+ won't dissapoint u.
Wider storage options. Better camera.
Kama wewe ni mpenzi wa android phones usinunue apple products nunua hiyo samsung.
 
Kukaa na chaji inategemea na matumizi yako tu.
Ila Iphone 6+ won't dissapoint u.
Wider storage options. Better camera.
Kama wewe ni mpenzi wa android phones usinunue apple products nunua hiyo samsung.

Ur right mkuuu na mapenzi ya mtu pia... Bt android product ne sheeedah sanaaa coz una pata apps nyingi sanaaa
 
Camera ya galaxy note 4 ni of the best quality ever!
 
Vitu ulivyovitaja hapo juu galaxy s6 active ndio inafit kila mahala kwa mahitaji yako. Ila sio premium device lakini ipo kiume.
 
Unapenda ladha gani ios au android?
Kama mgeni na ulimwengu wa smartphone chukua Note 4
 
Vitu ulivyovitaja hapo juu galaxy s6 active ndio inafit kila mahala kwa mahitaji yako. Ila sio premium device lakini ipo kiume.

Ile muonekano wake ni wa kitalii...

Kati ya iphone6 + na note4,nichukue ipi mkuu,nipe final say...
 
Unapenda ladha gani ios au android?
Kama mgeni na ulimwengu wa smartphone chukua Note 4


No si mgeni...
Nilianzaga na Galaxy pocket,nikaja galaxy s3,s4 na sasa nina Grand 2..

Sasa nilikua nataka ni test radha ya iphone,maana nilikuaga siipendi kutokana na size yake kuwa ndogo..
 
No si mgeni...
Nilianzaga na Galaxy pocket,nikaja galaxy s3,s4 na sasa nina Grand 2..

Sasa nilikua nataka ni test radha ya iphone,maana nilikuaga siipendi kutokana na size yake kuwa ndogo..

Mkuu hiyooo grand 2 hauuzi heh.. One of my fav aiseeee
 
No si mgeni...
Nilianzaga na Galaxy pocket,nikaja galaxy s3,s4 na sasa nina Grand 2..

Sasa nilikua nataka ni test radha ya iphone,maana nilikuaga siipendi kutokana na size yake kuwa ndogo..

Kama ndio hivi basi nakushauri jaribu ladha ya ios mkuu hutajuta kwa upande wa perfomance

Ila jiandae na ukiritimba kidogo tofauti na uhuru uliokua nao Android
Ukizoe au ukijailbrake haita kusumbua tena
 
No si mgeni...
Nilianzaga na Galaxy pocket,nikaja galaxy s3,s4 na sasa nina Grand 2..

Sasa nilikua nataka ni test radha ya iphone,maana nilikuaga siipendi kutokana na size yake kuwa ndogo..

Mkuu fast track me at 0653811003 whatsapp abd voice call. Dsm
Mkuu captain dunga
Niachie hiyo grand 2.
Nina s2 hapa nataka kubadili muonekano
 
Last edited by a moderator:
kama unafata camera zaidi kwenye iPhone 6+ na Galaxy Note 4... kwa hapo mshindi ni 6+
na kamawe si mtu wa ambo mengi, clean looking nakushauri iPhone 6+
 
Ile muonekano wake ni wa kitalii...

Kati ya iphone6 na note4,nichukue ipi mkuu,nipe final say...
Kama una mpango wa kununua na ukiona hujaipenda utauza chukua iphone 6 sababu iphone hazishuki thamani. Hata ukija kuiuza bei itakuwa haitofautiani na uliyonunulia.

Otherwise chukua note 4 maana ni nzuri kuliko 6 kwa muono wangu nimeshaitumia na camera yake ni nzuri sana. Chaja yake inachaji faster japo simu ina battery kubwa na inakaa na chaji mda mrefu. Pia warranty ya samsung ya miaka miwili inayocover kutengenezewa kioo na simu kuingia maji inaifanya note 4 kuwa choice nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…