Kas na kis 2014 hazina feature ya kua activate kwa kutumia keyfile.. Wameona wanachakachuliwa sana, kama unataka uendelee kutumia ya 2013 ndo key file zinapatikana ila kama kawaida jamaa huwa ni wachungu sana kwa product zao so, utakuwa waki kublack list unatafuta key file ingine tena..
Ingia hapa: Kaspersky Keyfile | Not Blacklisted