the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Nenda kwenye setup, badilisha 'Region' weka INDIA kama ipo, na Video Standard weka 'PAL-BDGHI' au PAL yoyote,,Natmua intex tv tuner modelIT 200USB kwenye laptop yangu inayorun window seven proffessional tatizo nikiconnect na antennae moja kwa moja napata picha cpat saut n mckiko wa chenga ukitega sana ckio saut inakia kwa mbali sana na nikitumia king'amuz napata picha na sauta ila picha inakua colourless,nifanyaje wadau
Crystal naipataje
sina hakika na hizo external lkn zile pci card ilikuwa unanunua kwa elfu moja kwenye maduka ya vifaa vya eletronics haswa radio na tv alafu fundi anakiunga kwa ndani