KAKA T;6778070]Hujabainisha kifurushi gani unatumia,pengine ndiyo tatizo
natumia kabaanga ile ya wiki moja. ina unlimited internet, pia huku kuna 3g pia. cha ajabu nnapodownload kwa kutumia simu wala haina tatizo, inadownload kwa speed nzuri tu. kasheshe inaanza nikitumia laptop kwa tethering na hotspot.