Habari wadau wa jukwaa hili,Nina PC aina ya HP.sasa hii PC nlimwazima jamaa Jamaa angu kwa muda wa takriban mwez 1,sasa ilivorudi nimekumbana ma tatizo hili,nikwamba ukiconect na charger inafanya kaz vzur,ukichomoa chaja mwanga kwny display unakuwa hafifu sana tena upo upande wa kulia tu.lakn inafunction vzur tu isipokuwa mwanga.jaman naombeni ushauri wenu wenye ufaham na hili.ahsanteni.
Hamna mshikaji wangu![/QUOT
watumia os gani
watumia OS gani?Hamna mshikaji wangu!
embu naomba uingie kwenye control panel >hardware and sound >power option then nipe feedback ipi iko selected na pale chini kuna option ya screen brighness embu jaribu ongeza alafu unipe feedback.Window 8
Wee jamaa natamani ungekuwa mwalimu wangu wa computer maana Kuna tichaa skull haelewekii ajafundishaa kama anajifundishaaa yeye aseeeejaribu hivi
weka high performance
ππππππ unaviona hivyo kama vimpira viko vingi maana performance kubwa kama itakua bado badilisha kioo
Shukran sana brother imemkubali!! Sorry kwa kuchelewa feedback nlitingwa kdgo.Hapana hilo sio tatizo ni setting zinaitwa power plan nenda hapo kwenye icon ya betri chini kulia click hapo alafu select adjust light then utaona maneno "change power plan " click hapo mwanzoni halafu kutafunguka the angalia popup yenye ki icon ka battery select neno "Do nothing " then save haitatokea hiyo issue tena ok.kwa maelezo mazuri kama ujaelewa google hivi how my pc remain with brightness after plug in charger/adaptor