Msaada juu ya Mahala wanapo run course ya 2&3D Animation

Walcotinho

Member
Joined
May 28, 2017
Posts
35
Reaction score
15
Habar wakuu.. naomba anayejua mahala wanapo fundisha 2&3D Animation kwaku specialised kwenye iyo moja kwa moja, maana nilienda DIT wanafundisha multimedia & Film technology, lkn uwe umefanya masomo ya sayansi lkn mm sjafanya sayansi, kwa anayejua sehem wanapotoa mafunzo hayo msaada wa kunijuza tafadhal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…