Habari wadau. Nilikuwa naomba kuuliza kuna taratibu gani za kufata kwa mtu anayetaka kujiunga jeshi akiwa na degree moja,na pia kuna tofauti gani kati ya JKT & JWTZ.
Huwa wanatoa nafasi za ajira kulingana na elimu yako, wale wenye stashahada na kuendelea kwa Dar mara nyingi huanzia pale kunduchi, JWTZ na JKT, JKT imezaliwa na JWTZ.