Ukubwa upi kiongozi? Una mchoro?kwa ukubwa huo wa nyumba
japo mimi ni mwanafunzi wa civil engineering(mwaka wa nne),,yote hayo naweza kuyafanya kwa malipo,pia naweza kuisimamia nyumba yako mpaka inaisha na kukabidhi kwa makubaliano maalum.
Pia nimeungana na mwenzangu kwa mambo yote yahusuyo umeme.
kama upo interest-0769454999
Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri.Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo
1: vyumba vitatu
2: bathroom and toilet
3: sitting room
4: dining room
Vitu tunavyoitaji kuvijuwa hapo ni vifuatavyo
1: kwa ukubwa huo wa nyumba ni matofali mangapi yanaweza kutumika kujenga hyo nyumba under estimation
2: tofali moja linaweza kughalimu shilling ngapi
3:ni mabati kiasi gani ya msouth yanaweza kutumika ktk kujenga hyo nyumba
4: gharama zingne mzijuazo nyny kama wataalamu wa mambo haya ya ujenz
Nawaombeni kwa wale wenye uzoefu na ujuzi wa mambo haya ya ujenz mnisaidie taarifa muhimu tafadhalini asanteni saana
Habar wana jamii forum mm nina ndugu yangu anataka kujenga nyumba zake maeneo ya bagamoyo na kigamboni nyumba zake anahitaji iwe na vitu vifuatavyo
1: vyumba vitatu
2: bathroom and toilet
3: sitting room
4: dining room
Vitu tunavyoitaji kuvijuwa hapo ni vifuatavyo
1: kwa ukubwa huo wa nyumba ni matofali mangapi yanaweza kutumika kujenga hyo nyumba under estimation
2: tofali moja linaweza kughalimu shilling ngapi
3:ni mabati kiasi gani ya msouth yanaweza kutumika ktk kujenga hyo nyumba
4: gharama zingne mzijuazo nyny kama wataalamu wa mambo haya ya ujenz
Nawaombeni kwa wale wenye uzoefu na ujuzi wa mambo haya ya ujenz mnisaidie taarifa muhimu tafadhalini asanteni saana
Kujenga huwa rahisi sana kama planning ni nzuri.
- Tafuta architect mpeleke site,
- mweleze unachotaka, kubaliana naye bei, akikupa michoro angalia kama ndo unachotaka, kama sio asahihishe,
- tafuta engineer afanye structural design,
- tafuta electrical engineer akufanyie design ya umeme, i.e. AC, machine za kufua, machine za gym, majiko, heaters, alternative power source design, taa, etc
- tafuta services engineer akufanyie design ya maji safi na taka
- tafuta mtu wa landscaping akufanyie design ya bustani, etc
- tafuta QS akupe detailed cost estimate,
- tafuta vibali vya ujenzi kwa mamlaka husika,
- tafuta msimamizi (engineer, technician) especially wakati wa setting, uchanganyaji na umwagaji wa zege na wakati wa kuezeka.
- etc
Shark gharama za "design services" kamwe haziwezi kuwa nusu ya gharama za "actual works". In most cases zinakuwa single-digit percent ya "actual work contract".Mkuu,
Kwa Mtaji lazima gharama ziwe doubled, maana hao wote hapo juu utawalipa.
Ukubwa upi kiongozi? Una mchoro?
Viwanja vina ukubwa gani?