Wakuu,
Ni mara ya kwanza kutuma maombi utumishi. nimeona kazi zilizo tangazwa za tarehe 1/4/2014. Lakini hakuna kipengele cha cetified vyeti, na kuna mdau anasema ni lazima cetified vyeti. je kwa nyie wazoefu je ni kweli?
Naombeni ushauri kabla ya kutuma maombi.
Asanteni