Nina ndugu yangu alihitimu kidato cha nne mwaka 2014 na kupata gpa ya 1.4 na ufaulu katika masomo saba aliyofanya ni huu.
Kisw B eng B geo B cvcs D bios E histor E math F na yeye ndoto zake ni kuwa mwalimu na kwa sasa kwenda ualimu ni kuanzia gpa ya 1.6 au division 3.
Tusaidieni jamani kama ualimu imeshindikana anaweza kwenda wapi kwa matokeo hayo!