Rais Msomi
Member
- Jul 28, 2017
- 53
- 67
Kama una picha ya hivyo vifaa ambavyo umeambiwa vinagahrimu hiyo pesa iweke hapa ili upate maoni vizuri kwani vifaa vipo vya aina mbali mbaliNaomba Msaada kwa haraka ndugu zangu katika hili.
Kama una picha ya hivyo vifaa ambavyo umeambiwa vinagahrimu hiyo pesa iweke hapa ili upate maoni vizuri kwani vifaa vipo vya aina mbali mbali
Tatizo la madaktari wetu hawaangalii tatizo lako la usikivu lipo vipi kwa mfano unaweza kuta tatizo lako lipo upande wa kuelewa nini watu wanazungumza.Habari Wandugu wa Jf!!
Ndugu naomba msaada wa haraka kwa mtu yeyote ambaye ana uzoefu wa kutosha ama amewahi kutumia Hearing Aids kwani nina matatizo ya masikio...
Waswahili bhana! Sasa katika Kichwa chako cha Habari umeandika kwa Kiingereza na cha Kushangaza huku katika uzi wako sasa kamili sehemu nyingi kama siyo kubwa umetumia lugha ya Kiswahili sasa sijui hapa tukueleweje? Watanzania mkisoma na kuelimika kidogo huwa mnakuwa na ' taabu ' sana hakyanani.Habari Wandugu wa Jf!!
Ndugu naomba msaada wa haraka kwa mtu yeyote ambaye ana uzoefu wa kutosha ama amewahi kutumia Hearing Aids kwani nina matatizo ya masikio...
Kama yana kelele hizo hearings aids hazitakusaidia endelea kutafuta suluhu nyingine usipoteze pesa kununua hizo aids mpk pale kelele zitakapokataMasikio yangu yana kelele nyingi mno...sasa kwa maelezo yenu hapo juu nakuwa bado niko kwenye dilemma....
Juu ya kipi au uamuzi gani nichukue!!
Yes inabidi dr akwambie in detail maana unaweza chukua healing aid ambayo haikufai ila ikamfaa mtu mwingineMasikio yangu yana kelele nyingi mno...sasa kwa maelezo yenu hapo juu nakuwa bado niko kwenye dilemma....
Juu ya kipi au uamuzi gani nichukue!!
Habari Wandugu wa Jf!!
Ndugu naomba msaada wa haraka kwa mtu yeyote ambaye ana uzoefu wa kutosha ama amewahi kutumia Hearing Aids kwani nina matatizo ya masikio.
Last week nimefika KCMC,nikaonana na Specialist wa Kitengo cha ENT,kwa kuwa ilikuwa Rufaa alifanyia check up na baadaye akanielekeza kwenda kupima.
Baada ya Vipimo mle chumbani, technologist aliyenipima aliniambia masikio yangu yana tatizo na hivyo solution ni hearing aids.
Akasema kwa Kiwango cha tatizo ililonalo unapaswa kulipia Laki3 kwa masikio yote mawili.
Nimesikia Hearing Aids zina challenges zake ...Tafadhali kwa mtu mwenye utalaamu nazo anipe ushauri kabla ya kwenda kuzichukua.
Natanguliza Shukrani!!