Kwa nini mtu alipe kwa kitu ambacho ni bure kisheria?
Maombi ya AVN number, TIN, na hata HELSB ni huduma za kiserikali zinazopaswa kufanywa moja kwa moja kupitia mifumo rasmi.
Uwazi wa utambulisho upo wapi? Tangazo halina jina kamili la kampuni, TIN ya biashara, wala anwani ya ofisi , ni namba moja tu ya simu.
BORESHA TANGAZO LAKO.