Kwa wenyeji kaka zetu na dada zetu mlio tutangulia kwenye masuala ya kielimu naombeni msaada.mm ni mgen kabisa hum.shida yangu n kwamba nimechaguliwa chuo cha udaktali wa meno tanga ngazi ya diploma in clinical dentistry nafasi ni thibitisha chuon lakin tatizo ni join instruction form kama kuna mtu naye kachaguliwa hapo na amesha tumiwa hiyo form,bc msaad aiwekee hapo na mm niisome. Msaada jaman maan tareh iliyo tangazwa ya kuanza masomo isha pita sasa, wengine tunahofuu wenda wenzetu washa ripoti vyuon.