Kaka nakushauri uwe unatumia excel ya kwenye computer. Hiyo ya kwenye simu imewekwa kurahisisha simple application of excel ikiwa ni pamoja na Musoma attachment ya spreadsheet iliyotumwa either through email, whatsapp or any other means.
Otherwise itakusumbua kidogo