Nimekuwa natafuta njia ya kutumia internet kwenye blackberry kwa chip yangu ya airtel kwa kuchange APN bila mafanikio. Najua ya tigo tu ila nataka ya airtel kwasababu ni cheap zaidi! Nawakilisha.
Install operamini kwa BB yako kisha nenda option>advance option>TCP na hapo kwenye APN andika internet, username na password usijaze kitu pabaki blank, kisha save utakuwa umemaliza mchezo, hapo utakuwa unaweka line yoyote inakubali