Habari wakuu,
naomba msaada wa namna ya kupata au kusoma online masters ya engineering sana sana electrical au ICT. Anae fahamu namna ya kupata chuo na gharama zake.
Hiyo course automatically inatolewa campus na sidhani kama kuna chuo kinatoa hizo course online maana zinahusisha practical trainings kwa kiasi kikubwa